File:Udhibiti wa viduha.webm

From Wikimedia Commons, the free media repository
Jump to navigation Jump to search

Original file(WebM audio/video file, VP9/Opus, length 21 min 57 s, 1,280 × 720 pixels, 1.55 Mbps overall, file size: 243.58 MB)

Captions

Captions

Add a one-line explanation of what this file represents

Summary

[edit]
Description
Kiswahili: Viduha ni gugu hatari lililo/sambaa kwa wingi na linaloshambulia mpunga wa milimani katika nchi za kusini mwa jangwa la Sahara .

Video hii inaelezea kanuni bora za kilimo zinazoweza kutumiwa kusaidia wakulima wa mpunga ili kupunguza tatizo la viduha katika mashamba yao. Video hii ya dakika 21 inaonesha kanuni nne tofauti zinazoweza kusaidia kupunguza tatizo la viduha mashambani:

1. Kupanda mazao kwa mzunguko au kwa mseto na mimea jamii ya kunde

2. Kupanda mbegu moja kwa moja kwenye shamba lenye mabaki ya mazao ya msimu uliopita bila kulima au kutifua udongo

3. Kurutubisha udongo kwa kutumia mbolea za viwandani na zile za asili

4. Kutumia mbegu za mpunga zenye ukinzani dhidi ya Kiduha.

Kanuni tatu za kwanza zina manufaa makubwa katika uhifadhi na kuongeza rutuba ya udongo. Wakulima wanaelezea kwa maneno yao wenyewe uzoefu walioupata kwa kufuata kanuni hizi na kueleza sababu za kuzifuata na kwa namna gani inatakiwa kufanyika.

Video hii inapatikana katika lugha tano ambazo ni Kifaransa, Kimalagasi , Kiingereza, Kiswahili na Kireno .

Washirika : AfricaRice , CIRAD , FOFIFA , GSDM ; Wafadhili : AfDB , kupitia mradi Sard - SC .
Date
Source YouTube: Udhibiti wa viduha – View/save archived versions on archive.org and archive.today
Author africaricecenter

Licensing

[edit]
This video, screenshot or audio excerpt was originally uploaded on YouTube under a CC license.
Their website states: "YouTube allows users to mark their videos with a Creative Commons CC BY license."
To the uploader: You must provide a link (URL) to the original file and the authorship information if available.
w:en:Creative Commons
attribution
This file is licensed under the Creative Commons Attribution 3.0 Unported license.
Attribution: africaricecenter
You are free:
  • to share – to copy, distribute and transmit the work
  • to remix – to adapt the work
Under the following conditions:
  • attribution – You must give appropriate credit, provide a link to the license, and indicate if changes were made. You may do so in any reasonable manner, but not in any way that suggests the licensor endorses you or your use.
This file, which was originally posted to YouTube: Udhibiti wa viduha – View/save archived versions on archive.org and archive.today, was reviewed on 24 April 2017 by reviewer Daphne Lantier, who confirmed that it was available there under the stated license on that date.

File history

Click on a date/time to view the file as it appeared at that time.

Date/TimeThumbnailDimensionsUserComment
current20:03, 23 April 201721 min 57 s, 1,280 × 720 (243.58 MB)Ser Amantio di Nicolao (talk | contribs)Imported media from https://www.youtube.com/watch?v=n3rMGOh3QVU

The following page uses this file:

Transcode status

Update transcode status
Format Bitrate Download Status Encode time
VP9 720P 2.42 Mbps Completed 16:54, 24 October 2018 44 min 57 s
Streaming 720p (VP9) Not ready Unknown status
VP9 480P 1.37 Mbps Completed 16:58, 24 October 2018 48 min 54 s
Streaming 480p (VP9) Not ready Unknown status
VP9 360P 730 kbps Completed 16:35, 24 October 2018 26 min 18 s
Streaming 360p (VP9) Not ready Unknown status
VP9 240P 412 kbps Completed 16:37, 24 October 2018 28 min 7 s
Streaming 240p (VP9) 320 kbps Completed 07:38, 21 December 2023 5.0 s
WebM 360P 574 kbps Completed 20:32, 23 April 2017 28 min 10 s
Streaming 144p (MJPEG) 799 kbps Completed 11:53, 11 November 2023 1 min 5 s
Stereo (Opus) 89 kbps Completed 08:45, 10 November 2023 24 s
Stereo (MP3) 128 kbps Completed 08:40, 10 November 2023 38 s