Commons:Picha ya Mwaka/2023

From Wikimedia Commons, the free media repository
Jump to navigation Jump to search
This page is a translated version of a page Commons:Picture of the Year/2023 and the translation is 100% complete. Changes to the translation template, respectively the source language can be submitted through Commons:Picture of the Year/2023 and have to be approved by a translation administrator.
Round 1 is open!    Vote now
·
duringR1

Picture of the Year 2023 || IntroductionDiscussionCommittee || R1 Categories || R2 Finalists || Results

Picha ya Mwaka wa 2023 ni toleo la kumi na nane la shindano la kila mwaka la Wikimedia Commons, ambalo hutambua michango ya kipekee ya watumiaji kwenye Wikimedia Commons.

Kuna raundi mbili za shindano la Picha ya Mwaka. Katika raundi ya kwanza, unaweza kupigia kura picha nyingi upendavyo.

Katika raundi ya pili, unaweza kupigia kura hadi washiriki 3 wa fainali unaowapenda. Kila moja ya kura hizi 3 inahesabiwa kwa usawa na unaweza kumpigia kura kila mshiriki wa mwisho mara moja pekee.

Ili kupiga kura, lazima uwe mtumiaji mahiri wa Wikimedia aliyesajiliwa kabla ya Januari 1, 2024, na angalau uhariri 75 kwenye miradi ya Wikimedia.

Vote for the candidates

Washindi waliotangulia